Life pale hostel

:joy:

1 Like

Nilitoka huko 2016 hio time ulikuwa freshman ukikamua 3rd years :joy:.miss dem days we used to party hardcore wild asf huko pool party za club house Na Rongai hio degree ni The Most high alinipatia

2 Likes

Unaongea kuhusu New York Hostel lower??

1 Like

GJG-vJBWgAARQFj

Hii life ni funny sana.

Demu alikuwa yuwaliwa kwenye mazingira ya aina hii na bado yuwataka akuringie :green_emoji: :green_emoji:

3 Likes

@KuwaitBabe leta experiences zako hapa na kina onyi wa madredi
ama ulikuwa thika technical training ukisomea tailoring

3 Likes

Mimi tulikuwa na jamaa saved wa huko home na singewahi leta demu kwa room. Ilibidi mechi zote nafanya nje ya campus but fortunately I had money to pay lodging

1 Like

Yaani katiba ikipitishwa 2010 mlikuwa mnanuka meffi na huko Primary school? MMU hiyo time ilikuwa vocational college inaitwa KCCT.

4 Likes

Are you DJ Maestro by any chance? Hii hekaya imenikumbusha kitu banae

2 Likes

4945EAF3-B897-4618-A30C-CFF0F51BE3F6-7080-000003B76DAA249C

Pale Kesses tulikua na roommate mluhya kadinya na kalevi kabisa. Siku moja alienda mabatini aka mabs, kunywa busaa akurudi na two kale lanyes, looking like boys with red eyes na meno nje. Akatuuliza “nani anataka mtu? Niko na extra.” None was interested, tukajifunika na kulenga hio story.
The guy ended up eating the two in turns hadi akableki coz they were topping up the busaa na mzinga na Napoleon.

6 Likes

No Mandela hostel upper kabete campus.

1 Like

Kumbe wewe ni msee wa ngombe…
Hehe

1 Like

No. Am an alumni of the most prestigious faculty of CAVS. FST

1 Like