Vipz jamaa… Mi siingi often huku(web)… Mostly nko kwa apps za whatsapp na telegram… Lkn nmebadikisha phone na nimejipata nje… C msee aniadd ama anitumie link ya whatsapp.
hehe ucjali… utawai tu
:eek::eek::eek:
Hata sisi tunangoja link ya Whatsapp. Usijali, tuko pamoya.
Nvs ,huyu mwenzenyu anasema nini?
iyo WhatsApp group create alafu uambie fellow nvs wakujoin nahuko
Hii ndio inaitwa khoi khoi? Siku hizi inafunzwa mashuleni?
[ATTACH=full]101981[/ATTACH]
Hi sweetheart…
Nlikuwa kwa group nyngne ya K-talk na Marto ndo alikuwa admin…
Najua nkitafuta kwa hizi ma threads ntapata lkn itachukua time…
Nko na group ya telegram na nlipata hio link kutoka kwa whats app ya k-talk…
So kutokana na hizi comments zeny its obvious hamjui ka kuna group ya k-talk ya whats… Conferm na Marto yy n admin huko…
I Was very sure this could only be from an NV
Masha makali huku kweli…hamna msisimuzi yeyote wa gandi…
[ATTACH=full]102176[/ATTACH]
Keti hapo NV
Ukaona hii swali juu ni nyeti, it falls under Sex and Relationships ama?
Hio link naona mirrors tu true ni ipi?