sparta tangu anze legit business amekuwa akifanya biz kwa bidii sana,but this early this month date 3rd weno,sparta alifunga job yake kama kawaida 10pm na nikaelekea home bila kusumbua,
early morning around 6.20am napigiwa simu na jirani apa job, na ambiwa sparta uku tumevunjiwa? nikauliza ati tumevunjiwa. …eeeh pia kwako wamevunja…apo ndio niliruka bed l thought l was dreaming ama ni prank …
asked the guy na souja anasema aje? ata haonekani…
nikauliza yeye hebu cheki kama kwangu wamebeba vitu, jamaa akadai wamebeba sioni TV’s nikauliza na laptop unaziona [FONT=book antiqua]HAKUNA[/FONT]
[FONT=arial]Apo nikavaa nguo kuchukuwa wallet hadi stage …kuchukuwa matt kuelekea job… my phone was ringing kila mtu ananicall sparta umepigiwa simu ati stall zimevunjwa …mimi najibu ndio naelekea uko jo…
fastforward nikafika job kitu 7am…nikapataa crowd na caretaker ashafika ,went straight kwa shop padlock hakuna kuingia napataa all my electronics gone:( yani walinibebea hadi extension za power, the only thing hawakubeba ni CPU
ALL the machines l use kunukisha kitungu yote ikaenda, l was just confused nimechanganyikiwa sasa all that hustle izo miaka yote inaenda just like that…[/FONT]
[FONT=arial]l thought ni mimi tu nimeumizwa lakini 8 stalls zilivunjwa, including a very famous studio in 001 uyo jamaa alibebebewa studio equipment zote, sasa mimi swali nilikuwa nauliza caretaker watchman wako wapi? hawapatikani…hii building iko town center haina CCTV yani? izo ndio maswali zilikuwa zinatembea…[/FONT]
[FONT=arial]the head of the security firm akakuja akadai kila kitu imesanywa iandikwe,kuwa ako na insurance italipa, the guy didnt want us to involve the police…nikaona apa tunachezwa, tunamuliza wafanyikazi wako wale walikuwa duty jana wako wapi? anadai supervisor ndio hupanga duty, akaitwa akakuja na hadithi yake, the mob almost wanted to lync him…
mimi na jamaa wa studio tukaenda central police kuandikisha OB…tukapewa sergeant akakuja na karao wanne tukarudi nao hadi job
l thought this guys watakuja kuchukuwa finger prints like l see in the movies lakini wapi?
the just came wakauliza maswali bla bla mingi…mkubwa wa security firm na supervisor wake na cleaner huwa analala iyo building wakawekwa ndani…[/FONT]
[FONT=arial]fast forward the watchman moja wao alipatikana akajitetea ati alipigiwa simu aka-ambiwa aende home na mkubwa wao kuna mtu atamshikilia job…over 10 suspect have been arrested and release… nimeshinda central for over 2 weeks hadi nimechoka
the security firm guy aliwachiliwa pia…only person amefungwa shimo ni ule watchman…lakini vitu za sparta hazipatikani
the police wametukula tu pesa no justice at all…l have never been this down mood a ya kula mkia sina kabisa (so many unhappy ladies)[/FONT]
[FONT=arial]now the owner of the building anatupatia hopes ati vitu zetu tutalipwa lakini its been over 3 weeks now na hakuna matumaini [/FONT]
[FONT=arial]mukiskia boy amepatikana amevunjwa miguu na mikono yani street justice juwa sparta na team wamepatiana SJ [/FONT]
[FONT=arial]JUU izo vitu lazima walikuwa na gari na apa tuko kuna over 8 watchmen wote yani wanadai hawakuona kitu walakuskia[/FONT]
[FONT=arial]hebu angusha heka vile ulisanywa na uka ji-inua tena upatiye sparta hopes and encouragement [/FONT]