Luthuli Avenue cumming gone sour, 2013

I guess I’m lucky but Ile siku nitaibiwa nitaleta hekaya

I just discovered kuna jamaa anaitwa @Jeshi

My first time at SJ nilikua mgeni na my former schoolmate Omosh.

Sikua na job na he earned 11k kwa muhindi. Nikamuuliza ni wapi tunaweza chimba dawa bila kulipa. Tulikua Tom Mboya. Omosh akasimama akasema kuna places kama kumi so ni chague direction.

Nikapick right. Tukatembea kidogo kisha tukaanza kupanda stairs. Ilikua mara ya kwanza kuona lanye na nguo fupi tena mchana. Tulipofika loo mkojo ilikua ishapotea kama jasho. Uzuri nikaona stairs zinashuka into the street on the other side.

Tangu siku hio afadhali nilipe choo ya kanjo.

Omosh died of mchele a few years later.