Mabinti wa Kikenya mkuje tuyajenge.

ahahaaa wewe villager Mimi new villager akiii hii kali

Wanawake wa kikenya utawaweza wewe legelege, wanakung’uta waume zao kama dekio itakua weye?

Wanaume wa Kenya wanapokea kichapo mpaka police station kuna special husbands desk against wives brutality

Kazi kwako

Wabongo mnataka kuwakilisha nchi naona

Mbona sasa hizo manzi za Kikenya hazijitokezi?mi pesa mingi sana nyaenda nunua uwanja upper hill au lavington tujenge nyumba yetu tukae humo ndani na tuzar watoto wengi

Mmeshaanzaaa

… ha haaaa!.. Kenya Vibes! :stuck_out_tongue:

Vumilia tu dada yangu, hizi ndo adha za ukimbizi, maana malaika mkuu ndo kesha amua tuishi hivi

J

Jipe moyo, Mungu ataonyesha njia

… Ha haaaa!.. mkimbizi huwa hadeki mkuu!.. vumilia tu!

… kufanyaje?

Hahahaaa! Hakika mkuu, mtu mwenyewe mkimbizi, halafu anataka kuleta mideko yake, atafungishwa virago, anajisahaulisha ule usemi wa “yatima hadeki”
Hapa tuwe wapole tu ili tuendelee kupata jukwaa la kutema nyongo zetu

Kwakweli mkuje

Huku ni villager mwanzo mwisho:p:D:p

Hahaa kweli kabisa

Miss you dinazarde…

Naona wadada wa kikenya wametususa watanzania…

Duuh! Mtani nakuona aisee.

Jamaani wadada wa Kenya kujeni huku. Hahahaaaa

Ukiwa unaweka hiyo kambi naomba niwe nikusalimia Swahiba.

Mzima weye?

Swahiba nimefarijika sana kukuona tena
Natumaini upo poa

Niko poa aiseee Swahiba. Nami pia nimefarijika kukuona Swahiba.

Tupo bana.

Tupo pamoja swahiba