Mabinti wa Kikenya mkuje tuyajenge.

karibu Swahiba.

Bakini na sisi tu watawafata wenyewee

Sizoomki mimi

Hahaha
Wacha kabisaaa

:p:p:p:p:p:p

mimi ninaogopaga kichapo tuu.Maana hawa wanawake wa Kenya kwa kichapo hawajambo.

Jf ikirudi muendelee pia kuwatafuta hao mabinti wa kikenya

Sijaona Kenyans hapa

ya JF yamehamia huku

Punguza tamaa mkuu

Nimefurahi kukuona tena…

Mie pia Mtani. Natumai ubukheri wa afya.

Ha ha haaaa… Villager tuliza ball

Eti @Mwifwa hukuni village elder. Mimi hiyo tittle wala siitaki maana ni kama ile wakenya walimpa yule aliyetufukuza nchini

@Shiroe @Female Perspective @Georgie Makena @Phylgee @Purple @Purr_27 @Mwikalilet hawa ni madem Wa Kenya babkubwa aiseeee

@Shiroe uko wapi rafiki yangu

Nipo;)

Ndio mkuu, kuna hadi Villager sponsor

Za kutwa…

? Sielewi