kuna huyu dame anaitwanga stacey mi hupenda kurushia lugha pale mtaani buru huyo dame anakuanga ameweza ile mbaya. so jana nilimtext nikamuuliza ka tutaeza meet but akanishow anaenda Limuru kwa aunty yake for three days ndo arudi nikasema ni sawa. arif wa me boys fulani huitwanga mondoz sisi humuita moch akanishtua kuna venye form itashika kwake niende huko maisaa zake. kufika maisaa yake 6 ya jioni hapo nikazidi kwa moch kuna venye form ingeshika. kufika huko tukagoteana halafu nikaskia “babe ebu letea beshte yangu juice”… manze kumbe ni stacey…ivo ndo nili teleport design ya ule magician huitwa dynamo.