Kama hujui basi ni hii:
You are hopelessly incompetent in managing the economy (kitu ambacho Makaburu wali-excel). Ila ukatili kwa wapinzani hamna tofauti hata kidogo.
Nashindwa kuelewa unapopata ujasiri wa kumsifia Mandela au ANC. Well; probably hujui unalosema. Ulituambia nani alikuwa Rais wa Kuwait vile?
Huyo dikteta mwenye chuki za kutisha, roho mbaya ya kutisha na ukatili pia wa kutisha hana tofauti yoyote na makaburu wa Afrika Kusini ukiondoa ngozi yake, ni mtu hatari sana na janga kubwa sana kwa Taifa letu.