Manchestes United(Red Devils) Special Thread.

Habari njema kwa mashabiki wa Man United, kiungo Marouane Fellaini amesaini mkataba mpya wa miaka miwili katika timu hiyo utakaoisha mwaka 2020.

huu ushoga kumamaeeeeeeeeee

Fellain wa nini sisi, halafu unataka ukachukue EPL, UEFA ukiwa unamtegemea yeye as plan B…ni upuuz

halina ubishi ktk hilo mkuu

habar mbaya sana hizi huyu mtu hafai kwa sasa timu inatakiwa kujengwa cha ajabu tunarudi nyuma hatua kibao