Kwanza napenda kuwashukuru ndugu zetu wakenya kwa Kutupokea wagen kutoka Tanzania, ki ukwel tumejisikia tuko nyumbani especially mkatupa na Forum zetu kabisa ili kuendleza mijadala tulioizoea kwenye Jamii Forums
Kwa sababu ya mchanganyiko huu japokuwa tunaongea wote lugha moja ya kiswahili kama wana afrika Mashariki hii ambayo imesaidia kwa Wa Tz kutohis tofauti ya Old JF na hii Kenya Talk
Naomba wadau kwa Maana wakenya na Wa Tanzania kuna baadhi ya maneno / Misamiati ambayo kwa kitanzania inawezekana ikawa tofauti na wenzetu wa kenya so tupia maneno hapa na tafsiri yake kwa maana ya Kikenya na Kitanzania ili tuweze kwenda sawa.
mrembo hii hapa ni uongo:D:D Hamna neno kama mukundu bana. Neno lenyewe ni mkundu… mkundu ni pahali pale vijana wa TZ wamependa sana. Sijui waliita Tigo…