Mazishi ni kesho

I doubt that decision was made by the CEO

What is a ‘proper burial’?

Arabs live in the desert and coastal areas where the temperatures are very high compared to other places. Preserving dead bodies for weeks is a challenge. Those in mombasa know food spoils within hours. The tradition of Muslims burying their dead within hours is all because of challenges faced due to high temperatures. Kanzu ya white pia ilitoka hapo.

kwani he dealt with small gigs? I thought corporates have structures, probably a committee somewhere cancelled the gig and kuiba bundles as some of you called it, there are other players in the market ,no one is chained to safaricom, they’re here to make money for shareholders not to please people, the guy is gone hizi matusi watu wanatoa sahizi could have worked better if directed to him while alive, spitting them now shows the cowardice nature of Kenyans.

Guyana UK ama Kenya?

Haikukua zamani, ni yeye alianza?

Axe man @marine1 juzi niliskia ukiringa ati Collymore ni baba yako sijui aliwacha mama yako 1989 na huko Kinangofu… hata macho yako sijui inafanana na ya Bob , sijui hata upara yako inameremeta kama ya Bob… Well, NI KUBAYA!!!

Wachana na hizo mawaru ukimbie Nairobi, saa hii!!

You have until tomorrow to claim your mirrions. Anza safari saa ii hii kabla huyo msichana achukue yote.

Ni hayo tu.

Nilikuwa na 2 GB bundles nikasahau siku moja kununua zingine so that zi renew hizo 2 GB zangu. I was shocked the following day niko na zero, iliniuma sana the whole day

Ata hii mambo ya kuzikwa is just too much. The world is for the living sio kujaza dunia na misalaba and graves. Get roasted and your ashez thrown into the ocean.

Huyu mzee kijana alifukuza watu wengi sana safaricom na hio wizi yake. Juzi tu nilizusha hio story hapa nikaambiwa nianzishe kampuni yangu. :D:D

Isorait. But how do bundles and air time expire, surely?

Zile curses amekuwa akitipuwa hizo miaka tisa nazo sio chache.

Watu five million wakikuita mbwa kwa roho yao in one day unajua hio ni matusi mzito sana?

Dude knew he was going and those who mattered to him had already visited him and the ones abroad already prepared their tourist visas so by today evening wataland.

A millionaire is holding a small private burial one day after death.
Meanwhile peasants accumulate large mortuary bills, fundraising left and right for a ‘proper send off’.

Hapo ni kweli.

Mwenye kwenda hananga say. Mipango huwa yenu malimwengu.

Maneno ya kuweka mtu wiki mbili ni :meffi::meffi: 1 full day to mourn is enough

ferk you mean,mortuaries ziliundwa kunukisha kitunguu,hata bibilia inasema mtu akifa azikwe haraka upess.There is no bigger reason why a body gets buried the same day or after a week unless iko na kesi ama ni john /jane doe.The only reason wakristo hukalisha mwili ni either sanduku ni expensive so harambee ifanyike ama wanaogopa kukasirisha watu hawataeza make burial so wanwapa time ya kujua na kukuja

mmmh interesting! Hii ni ukweli ama umeobserve tu?

what was he supposed to do? MHSRIP

Yesu akizikwa same day

Ni ukweli.
ATA ngurwe ndio maana hawamli. Pork is almost impossible to preserve in hot environments because of its fatty nature.
But it all gets interwoven with religion and culture before you know it, pork is declared Haram and taboo.