Monica Kimani- Jowie case

[ATTACH=full]199684[/ATTACH]
Ati huyu mjamaa alifanya nini:D:D:D

Heheheee…

Hii stori imechoka.

Wakati wakifanya DNA hiyo semen ndio ilikuwa inashout rape?

Tuachane na hawa watu. Shit happens.

Kama uko na wasichana waambie tu wasiishi na wakora. Wakipatana na msela wapite na mti waache mwenyewe hukooo…

Halafu wanyemelee kijana mpole waolewe wakae mstarehee…

Expired.meffi.dll

how did they determine rape?

They can only ask the gal if she consented. Hauwezi kesi na maiti.

Hio sex ilikua consensual. If it was rape, kungekua na commotion na neighbours wangeskia. These were lovers so I dont see where rape comes in