Mume wa dada yako anapokutongoza inakuwaje?

Unamkataa, usiambie dada yako kwa sababu hii italeta ugomvi…lakini makosa ilianza hadi tu uliitikia hio gifti ya kwanza. Koma kuchukua chochote and ukate mawasiliano hawezi kufuata kwa sababu ataogopa bibi yake ajue