Nacheki mmeamua mwenye vitu ajilipie dowry....ruracio whatsapp group's mass exit

Wachana na jamaa,si unaelewa anachomaanisha

True. I use this approach always.

Mimi mwenyewe sijasumbua watu wani changie pesa, mbona mimi nisumbuliwe ? Kama sio ugonjwa au shule, hiyo ingine mtu ajiwekee.

By lefting a group you’ve been added without your permission shows that you’re weak, kaa kwa group with zero participation wakimaliza shuguli unangoja chairman a left you follow suit, no one will ever blame you for being radical.

unakaa kufanya nini? just “left” immediately Kwanza mchana in the heat of chats, sio kungoja usiku.

Kushawai semwa hapa you change whatsapp number from line one to the other which makes them lack your identity I. The group. After hapo you left at your own pleasure. Hakuna mtu ata jua whoever left coz it’s a strange no. After that you revert to your old line.

Lmfao… Ati group ya mchango ni kama ni bibi ya kila msee.
Kama huwezi raise dowry sasa utachangiwa how are you a man anymore go MGTOW 5yrs and grind urudi kama uko pocket safe.

Hii ni aibu kubwa sana…

i tried that and gives a notification that :0712345678 has changed to 0733456789…so kila mtu anajua your new number…na bado wanakuona uki"left"

Si uwaeleze ya kwamba, ruracio ni kazi ya baba mzazi na sio ya kijana, na tena sio marafiki zake!
If you cant afford it don’t do it!!!