Nairobi to Addis Ababa by public transport.

:D:D:D:D
Inakaa kama ile Yesu alikula na wafuasi wake akienda kusulubishwa.

That bread is called Injera. Has some bitterness/sourness to it. Like lemon.

@pamba hii awasssa mnashinda mki imbaimba hapa wacha nikule merry go round lazima nishuke Addis ni sample.

Kot brother exchange ya birr imefika 3.5 which means iko security huko

Best airfare a month from today
[ATTACH=full]199184[/ATTACH]

Wacha injera. Kingine tu kina ladha ya maziwa hivi.

Wacha tu niulizie friend. Maliar Wahabeshi kwa hiyo route wanapatikana?

ni pa kusafisha mjuols ama?

Such a lie, The block on the design below shows otherwise
[ATTACH=full]199324[/ATTACH]
[ATTACH=full]199325[/ATTACH]

Very nutritious with no gluten.

Dafaq?!!!

Muwache kuleta info nusu nusu. Anikeni what needs to be done kuenda na kurudi Ethiopia.

Fika huko and don’t forget to safisha elders cornea, as per K talk constitution, Chapter 169 clause 12B

Wekelea advice yote hapa Omwami… Like costs, accommodation, dos and donts… utakuwa umesaidia sana

:D:D:D:D… wrong thread… peleka cowdung ya punda huko

poleni, technical glitch

@Inthanite From Nairobi to Moyale kuwa na kitu kama elfu mbili. Pandia basi Eastleigh. Ukifika Moyale peana passport Kenyan side na Ethiopian side ipigwe stamp. Sasa kutoka hapo umeingia Ethiopia. Kitu ya kwanza ni kuchange pesa. Shillingi moja ya Ethiopia ni shillingi tano ya Kenya. Hio pesa huwezi kuchange kwa bank kwa sababu gava ya Ethiopia inacontrol money exchange so banks huwa zinakataa kuchange. Lakini hapo kwa border kuna watu wengi sana huwa wanachange pesa kimagendo, hao ndio watakusaidia. Usijidanganye ati utaenda addis kuchange pesa, banks huko ziko na maringo.
Next, ukishachange pesa, next step ni kubook basi ya the following day asubuhi. Basi zote za addis zinatokanga 5.00 a.m asubuhi kwa hivyo lazima utafute karoom cheap hapo kwa border side ya Ethiopia ulale hadi 4:30 a.m uamke uingie basi. Safari ni ya two days. Siku ya kwanza by 6:00 pm mtasimama city inaitwa Hawassa kulala. Tafuta nyumba ulale, uzuri ya Ethiopia kila kitu ni cheap. Room per day ni kama mia tano ya Kenya. Tena usisahau kuset alarm 4:30 a.m asubuhi juu basi inatoka 5:00 a.m asubuhi na watakuwacha ukichelewa hao hapana tambua african time. Day two mtafika addis at around 1:00 pm yaani saa saba mchana.Mimi nilikuwa na 20,000 ksh na niliitumia on a one week journey from Nairobi to Addis and back and that 20,000 ksh includes money for transport, food and room. Nilitumia three days going to Addis, three days coming back and two days in Addis itself. From Nairobi to Moyale ni kama 2,000 ksh, from Moyale to Addis ni kama 2,000 ksh. So ukiwa na 4,000 ksh hio inakupeleka hadi Addis one way. Two way ni 8,000 ksh. Ukiwa na 20,000 utaenda na urudi. Kuna search ya polisi after every 100 km. Mnatolewa kwa basi lakini mnaacha bags zenu ndani ya basi, bags ndio zinapigwa search. So usibebe kitu yoyote ya ujinga, security iko tight kama kitu ingine ndio maana security yao iko juu kutushinda.

For information purposes only, hapo Hawassa naweza pata kienyeji ya habesha, nipunguze uchovu wa safari?

Unaeza pata bora una doh

Kama mangapi hivi?