Tony254:
@Inthanite From Nairobi to Moyale kuwa na kitu kama elfu mbili. Pandia basi Eastleigh. Ukifika Moyale peana passport Kenyan side na Ethiopian side ipigwe stamp. Sasa kutoka hapo umeingia Ethiopia. Kitu ya kwanza ni kuchange pesa. Shillingi moja ya Ethiopia ni shillingi tano ya Kenya. Hio pesa huwezi kuchange kwa bank kwa sababu gava ya Ethiopia inacontrol money exchange so banks huwa zinakataa kuchange. Lakini hapo kwa border kuna watu wengi sana huwa wanachange pesa kimagendo, hao ndio watakusaidia. Usijidanganye ati utaenda addis kuchange pesa, banks huko ziko na maringo.
Next, ukishachange pesa, next step ni kubook basi ya the following day asubuhi. Basi zote za addis zinatokanga 5.00 a.m asubuhi kwa hivyo lazima utafute karoom cheap hapo kwa border side ya Ethiopia ulale hadi 4:30 a.m uamke uingie basi. Safari ni ya two days. Siku ya kwanza by 6:00 pm mtasimama city inaitwa Hawassa kulala. Tafuta nyumba ulale, uzuri ya Ethiopia kila kitu ni cheap. Room per day ni kama mia tano ya Kenya. Tena usisahau kuset alarm 4:30 a.m asubuhi juu basi inatoka 5:00 a.m asubuhi na watakuwacha ukichelewa hao hapana tambua african time. Day two mtafika addis at around 1:00 pm yaani saa saba mchana.Mimi nilikuwa na 20,000 ksh na niliitumia on a one week journey from Nairobi to Addis and back and that 20,000 ksh includes money for transport, food and room. Nilitumia three days going to Addis, three days coming back and two days in Addis itself. From Nairobi to Moyale ni kama 2,000 ksh, from Moyale to Addis ni kama 2,000 ksh. So ukiwa na 4,000 ksh hio inakupeleka hadi Addis one way. Two way ni 8,000 ksh. Ukiwa na 20,000 utaenda na urudi. Kuna search ya polisi after every 100 km. Mnatolewa kwa basi lakini mnaacha bags zenu ndani ya basi, bags ndio zinapigwa search. So usibebe kitu yoyote ya ujinga, security iko tight kama kitu ingine ndio maana security yao iko juu kutushinda.
Thanks man. This is very informative.
How are the roads from Mayole to Addis mtu akiamua roadtrip? [SIZE=1]fielder [/SIZE][SIZE=4]inaweza a[/SIZE]ma lazima uwe na offroad vehicle?
Are RHD vehicles allowed? What are the interesting points along the way?
pamba
October 9, 2018, 2:42pm
42
Unalipa na kupewa receipt .
pamba
October 9, 2018, 2:47pm
43
Tony254:
@Inthanite From Nairobi to Moyale kuwa na kitu kama elfu mbili. Pandia basi Eastleigh. Ukifika Moyale peana passport Kenyan side na Ethiopian side ipigwe stamp. Sasa kutoka hapo umeingia Ethiopia. Kitu ya kwanza ni kuchange pesa. Shillingi moja ya Ethiopia ni shillingi tano ya Kenya. Hio pesa huwezi kuchange kwa bank kwa sababu gava ya Ethiopia inacontrol money exchange so banks huwa zinakataa kuchange. Lakini hapo kwa border kuna watu wengi sana huwa wanachange pesa kimagendo, hao ndio watakusaidia. Usijidanganye ati utaenda addis kuchange pesa, banks huko ziko na maringo.
Next, ukishachange pesa, next step ni kubook basi ya the following day asubuhi. Basi zote za addis zinatokanga 5.00 a.m asubuhi kwa hivyo lazima utafute karoom cheap hapo kwa border side ya Ethiopia ulale hadi 4:30 a.m uamke uingie basi. Safari ni ya two days. Siku ya kwanza by 6:00 pm mtasimama city inaitwa Hawassa kulala. Tafuta nyumba ulale, uzuri ya Ethiopia kila kitu ni cheap. Room per day ni kama mia tano ya Kenya. Tena usisahau kuset alarm 4:30 a.m asubuhi juu basi inatoka 5:00 a.m asubuhi na watakuwacha ukichelewa hao hapana tambua african time. Day two mtafika addis at around 1:00 pm yaani saa saba mchana.Mimi nilikuwa na 20,000 ksh na niliitumia on a one week journey from Nairobi to Addis and back and that 20,000 ksh includes money for transport, food and room. Nilitumia three days going to Addis, three days coming back and two days in Addis itself. From Nairobi to Moyale ni kama 2,000 ksh, from Moyale to Addis ni kama 2,000 ksh. So ukiwa na 4,000 ksh hio inakupeleka hadi Addis one way. Two way ni 8,000 ksh. Ukiwa na 20,000 utaenda na urudi. Kuna search ya polisi after every 100 km. Mnatolewa kwa basi lakini mnaacha bags zenu ndani ya basi, bags ndio zinapigwa search. So usibebe kitu yoyote ya ujinga, security iko tight kama kitu ingine ndio maana security yao iko juu kutushinda.
Boss exchange rate ya birr saa hi ni 28 .5 ,safari from moyale Ethiopian to adis siku hizi ni one day 774 kms in two days kwa lami?
pamba
October 9, 2018, 2:48pm
44
Inbox me ukitaka kutembea huku .
Okay, roads ziko poa sana. From Moyale to Addis ni almost 800 km na the only murram road nilikutana nayo ni a 100 km stretch, the other 700 km ni tarmac kwa hivyo barabara iko sawa. The only thing sijui ni kama unaeza enda na personal car na procedure ya kufuata. Unaeza enda Ethiopian embassy watakuambia. Niliwahi enda huko kuulizia procedure flani, iko hio njia ya statehouse.
Naona vitu zinaendelea kubadilika huko. Hio ni sawa
dukeofkeroka:
Kama mangapi hivi?
Ni kujibonga huko. Lakini ni warembo my friend. Hata wakikuambia pesa ngapi najua utatoa, lakini sijui ni doh ngapi but kila price huko ni almost sawa na Kenya. Mimi kufinya hawa kunguru hiyo niliwachanga, saa hii mimi ni baba ya mtu mani, hehe.
Tony254:
Okay, roads ziko poa sana. From Moyale to Addis ni almost 800 km na the only murram road nilikutana nayo ni a 100 km stretch, the other 700 km ni tarmac kwa hivyo barabara iko sawa. The only thing sijui ni kama unaeza enda na personal car na procedure ya kufuata. Unaeza enda Ethiopian embassy watakuambia. Niliwahi enda huko kuulizia procedure flani, iko hio njia ya statehouse.
Thanks for the explanation, I will get more info…Thinking of doing something different with the family hii Dec without breaking the bank. Tuzunguke huko kaa 10 days.
pamba
October 10, 2018, 3:31am
49
Tony254:
Okay, roads ziko poa sana. From Moyale to Addis ni almost 800 km na the only murram road nilikutana nayo ni a 100 km stretch, the other 700 km ni tarmac kwa hivyo barabara iko sawa. The only thing sijui ni kama unaeza enda na personal car na procedure ya kufuata. Unaeza enda Ethiopian embassy watakuambia. Niliwahi enda huko kuulizia procedure flani, iko hio njia ya statehouse.
Kuja na gari kwa customs moyale Kenya na original logbook itafanyiwa verification hio tu no big deal.