Nani ashai enda..

ni kesho…sijui oliver mtukuzi or something like that. im not interested though.

Blankets n Wine ni ya ma-wannabe…

2 Likes

sio mashamba ni tuploti

Ridgeways as in herisquare… .

am afew minutes from herisquare,will be there immediately,i’ll be the big guy with a big dick

2 Likes

Lol… am the petite gal watching +254 kwa nyumba :slight_smile:

mambo ya new mexico ulisemaje?lakini niliona ulisema hata gikambura sio kubaya,niko na kashamba acre tatu huko

1 Like

Its a Kenyan Hipster convention. I find hipster culture to be too feminine/gay .

1 Like

Hio ketepata unachana kwa merc ndio being real! Kumaa!

Very true… The gay community patron such places

At least I’m not trying to pretend to be something I’m not… Hata hivyo kila nyani na starehe yake.

1 Like

Nilikutana na dem flani anaongea Queens English complete with a British accent kama wale presenters wa capital juzi nikatingisha Kichwa tu

3 Likes

You mean the community PATRONISES such places, right?

Nimecheka ka chizi. Ha-ha.
:smiley:

1 Like

unauliza hapa? si hatujui!

mtukudzi na wewe…hata kama hatujui hatuwezi kosa jua mambo yoote

sisi watu wa kusema switi potaito hatuwezi fit huko…huko kunaendagwo na ma-millionaire footballer wanaovaa maxi-skirt na kuvuruta shisha…halafu wanashindwo kufunga mabao

5 Likes

Be nice now… ha-ha.

2 Likes

:D:D

Thanks for the correction… Jaba imenichanganya mbaya.

Hehehehe,ni veve yangu nitachana ama ni kwenda place Kama hizo???