Habar wanajukwaa,naomba mnisaidie namna ya kuwasiliana na mtu pm kwa kuwa najaribu kuwasiliana na admin naona inashndikana!
Hata mimi sijui
Kwani unatumia nini, simu au computer?..
Natumia cm Mkuu!
Ingia kwenye profile yake kisha angalia kitufe chenye alama kama bahasha (nadhani sijakosea)…
Kuna shida pm
Kama ni tatizo tag admin hapa kisha weka ujumbe
Bado hujarudi nyumbani kumbe!
Kule sina mpango wa kurudi
Dah! Pamoja na kua pamenoga
Sijajua lakini sio mwaka huu mwaya! Wacha nibaki huku tuu
Lakini inavoonekana ulinzi na usalama huku ni wa uhakika kuliko home eeh Sakayo:(?
Basi tutakua tunakuja kuku salimia na kukueleza yanayojiri huko nyumbani
Nashukuru sana Sesta… Mie nipo hapa! Ulinzi wa kutosha
Wee kula tu mema ya nchi Sakayo after all East Africa ni kama nchi moja tu japo wenzetu Wakenya naona katiba yao imewaongezea sana uhuru hasa uhuru wa kujieleza watu wao
Vizuri sana kumbe utarudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nampa moyo, nitarudi labda miaka ijayo
Sawa Sesten