Kwanza nitoe shukrani kwa majirani zetu kwa kutusitiri. Nafurahi pia kujifunza mambo mapya maana nimeshaanza kuongea na sheng:D
Ni ishu gani nzuri hukujia unaposikia kuhusu Kenya na wakenya?.
Mi nikisikia Kenya nawaza kuhusu twist, Lupita Nyongo, katiba yao mpya iliyoleta county system siku hizi na Churchill show hasa MCA tricky.
vipi wewe?
Tofauti ya watanzania na wakenya kwenye social media ni kuwa . Watanzania tunaongea kama vile tupo nyumbani au mtaani au kwenye kijiwe cha kahawa. wakenya wanaongea utafikiri wanajibu mtihani, hakuna cha sense of humour wala nini. Mnatakiwa kurelax mitandaoni, au mnaogopana!??