Only people who have worked at a mujengo site can relate

you are over glorifying those stupid infidels .
vile nachukia fundi … . I could decapitate that one and mutilate their corpse . maumbwa wao

Nope, yeye ako na light duties as compared to other’s…

si ngombe inataka kuachwa na everything,naye Mungu si adhumani ile kichapo atachapwa!!!

“Light duties” it reminds me of waiguru and Uhunye:D:D

Leta hekaya?

ni umbwa ingine ilinisimamisha kazi juu kamba ya kutumika kama plumb line ilikuwa imeshikwa na simiti… sasa mimi namchapia haiwezi toka yeye anasema sina nguvu ya kuvuta na siwezi fanya kazi mahali ingine…

nilimtukanisha na mamake, shoga yeye na hapo hapo nikamtupia vifaa zake na kujitoa

:D:D:D:D:D…Jehova

Food on site helps workers to be comfortable on the site, after eating they just sleep upto to 1.50 .Makes them relax as some take dome.

iyo kazi bila nyasore ni ngumu sana

Relationship za mafundi na watu mkono zinakuanga ivo…site haitakangi hasira unaeza kufa haraka sana.

Endelea namna hiyo…Siku ya kunyenyekea haiko.mbali

sasa huo ndio upumbavu wenye haufai. Mtu anakudunisha juu ya silly entitlement eti anajua kujenga nyumba. na ghasia ni binadamu tu kama wewe…choo anaenda tu… ferk men i swear nitakuja toa mtu uhai siku moja

halafu ukitoka hapo 5pm unafeel ni kama haujakula siku tatu

Ciru alikuwa anatuletea chapo na uji ama chai…ukijiskia unaenda kwa hotel unakula chapo dondo ya fifte

kama hujapatana na jaruo za miraba nne zikikurushia mawe ya 9 ya futi tatu huku ukipanga kwa lorh zikiwa na nia ya kungogeshana mkono yako na 9 ingine hakuna kitu unajua

Kuna siku nilipandisha simiti kumi to 3rd floor of the flat…na ilikuwa bado githaa ya asubuhi…mgongo ilikaa mbao…mgongo ishakuwa mbao na ni saa nne,job hufungwa 5pm…nilihepa …hakuna vile ningefikisha jioni hiyo siku

Unapitia mama wa githeri unashika ya mbao na maji jug mzima kabla uende home.

Wewe unaongea ivo juu hauna ubao… i have a site in keserian, whenever i go there i meet guys who are willing to work for half the pay.

Kuna site nilikuwa walikuwa wanatest wasee na kuwaambia wabebe simiti to second or third floor. Na hausaidiwi kuiwekelea kwa mabega… Ukitoboa uko job…

i now have the audacity to speak that way ever since i stopped kissing ass.
Nilikuwa peoples pleaser … nafanya kazi vile inafaa , sina shida . niko humble tu… in the end unabebwa tu ujinga na ninja inakusimamisha tu hivo tu yani…
sasa mtu anakwambia tu usikuje kesho na jana yake umefanya kazi to your level best… na hata sio yeye alikuingiza job… saasaaa? :smiley: :smiley:

wah enyewe i just swore never again. Kama unataka kuheshimiwa pia wewe heshimu wengine.

you are not more or less special