Polite suggestion to Tanzanians following the bloggers' woes

Acha uongo! WHo targeted them! Ingekuwa wameenda kulipia licence wasingeacha kutoa huduma! Wameamua kutafuta attention kwa other countries ndo maana wakajifanya wababe wamegoma kulipa licence

Real profile on serious and critical issues…

Hututakii mema wewe…

Cc: @Mahondaw

ushawai angalia vile #KOT huzusha kuhusu political issues ? Ushawai skia watu wanaitwa Cyprian Nyakundi, Robert Alai…Itabidi wabongo Muache uoga na ujasiri wa mitandaoni kama mnataka kusaidika. Wakenya hupiga Kelele Twitter, wengine hukamatwa wanapelekwa Kotini wanashinda kesi wenyewe. Mkaambiwa muende maandamano mkaona heri mkae mle pilau. Hio tu ndo issue yenu. Hizo shida zenu hazitaisha bila yenu Kujitoa. Itabidi mjifunze kurusha mawe, sababu vile kunaenda huko kwenu, naona mkija kuwa nuisance kwetu hapa Kenya msipong’ang’ana na hali yenu. Ingekua Kenya tungekua tushaenda maandamano. Kwanza wapi ile ndumakuwili yaitwa @GezaUlole ijibu maswali hapa?