Privacy

Guys im requesting a small help… From u. There is this app ambayo una customize ina hide main chats za kunguru ambapo main chick ata aka shinda na simu hawezi zipata na kujuw Ziki ingia. Ina ji ita how?

Delete

Labda @Ice_Cube asaidie

vault it is but why keep chats u delete as u chat

For feature refrence…

Yap i can deletr bt the issue ni wakati text zimeingia na main chick ndio ako na simu… Unajuwah kume haribika wakati unaona sura ime kunjwa na kurudishiwa simu

@cap one damsel ain’t enough ?

Hana simu yake or why do you give her yours

Parallel space. Kijana why is your b.itch even touching your phone in the first place? Do you also check hers? Nyinyi ni ng’ombe style gani?

freeze the damn app.

Kama ni Whatsapp, tumia Parallel Space though it distorts your phone book. Kwa SMS tumia Go SMS na ufiche za Kunguru kwa private box

Just restrict the app from showing notifications ,ata message ikiingia haitaonyesha

The bigger problem here is that hakuna mwanaume kwa hiyo relationship.

u know it take one to b a cow to see another cow. actually this people called ladies wata zidi kuwa ladies ata kaa si wote huchukuwa na kuanza ku snoop… bt uyu nikaa mtoi ana ngoja uweke simu chini ili anze kucheza game bt yy ni kuanza ku snoop

Mobile phone insecurities grow into emotional ones. Kama una mtu, muweke, wachana na kunguru

hehehehe

kunguru ashike simu kwanini?? i rather die than kunguru kushika my phone…chieth

si atafute tu atapata kile anatafuta ndio atajua if she brings her head ako na replacement pap. Mscheew. My phone has no security feature everything is laid bare.