RICH MAVOKO ATENGWA NA WCB, INASEMEKANA NI BAADA YA KUKATAA KUMPA DIAMOND PLATNUMZ WIMBO WA RUDI

Hakuna unalolijua kuhusu Mavoko wewe mtoa mada

tuambie wewe unalolijua, vinginevyo utakuwa shoga mkuu.

[ATTACH=full]180277[/ATTACH]

We mzee ni mbishi sana kila thread humu unajifanya mjuaji mfyuuu

Nashangaa anajifanya mjuaji

Akikujibu nitag

Rafiki hebu nipe darasa kwa hz entertainment za bongo,binafsi ni zero kbs

Poa Mkuu

Acha wafu wazikane…

usikute hi thread nayo ni kiki…!

Mda utaongea mana hata kwenye tangazo lao la rearity tv yao mavoco hayupo

Huyo tununu ndiyo nani!?

teh teeh nmefurah kukuona humu

Mimi je,
Haujafurahi kuniona jamani??

haha hamisa mobeto

:D:D:D:D:Dnmefurahi pia karibu villager

Ahsante my elder in this Village

Aisee! Pole yake
Nalog off

Uzushi huu,wa kishamba sana,unasema Rich hoenekan kweny event yoyote ya WCB ile show ya Idd pale Dar live ilikuwa ya Shemeji yako? ile uzinduzi wa Nyumba ya Imani ilikuwa ya Mama ako? matukio yote hayo ni very recent na Mavoko alikuwepo…wimbo wa Rudi Diamond ameplay part kubwa kuchangia mawazo yake na pia kaonekana kwenye video how come,jipange upya dogo na kwa taarifa yako tu Mavoko ashamaliza kushoot ngoma yake wiki hii,stay tuned dada yangu mzigo unakuja halafu Mpee Pole Bosi wako Ruge twamtakie afya njema…

U

UmeMaliza Mkuu,yani watu wapi kama fisi kuzuia mkono wa binadamu uanguke autafune.Na bado sana mtabata tabu