Wadau naona black friday inakaribia na simu yangu iliibiwa na maraya pale sj.Ni simu gani fiti 5.5 inches nitapata na under 11k.
Ongeza 2k n buy ober primo E8 from jumia. Its a good phone.
nimeicheki ni simu safi kabisa
moto c plus
RTFF and LGBYF
Infinix… hot5 smooth back plate. Good phone better than other Chinese stuff but the name radiates peasantry.
Unanunulia sibling ama side dish?
Kujia hii zero 3 na 13k
Ongeza 500/- ununue Infinix Hot 4 pro pale Jumia na 11,499/-
Infinix so simu anko, ni time bomb. Kwa hio bei, heri Huawei, lenovo ama tecno