Morning talkers, i have been researching on the most suitable DVB-T2 gadget and have finally narrowed down to a Superbox at a cost of KES 3,299, anyone who have used one can tell me of any demerits before i can commit my hard earned cash. See photo below (kwa wale watu wa mbicha)
@Electronics4u wahitajika hapa.
mimi natambua openbox comboV8 na sijawai tumia hii superbox but mtu wa teretio atakusaitia
Thanks @Meria Mata , but is the openbox comboV8 available locally (here in Kenya), and at what price?, nimenoa nikama iko na more services than Superbox
Mimi apana tambua hiyo Super box @High street.
Nunua hiyo Open box comboV8 ama MX android TV box.(Kodi pre-installed)
Mtu wa teretio ashasema, hizo vitu zote ziko hapa nchini,
@Luther12 , Thanks,
@muzombozi , i have an option for Open box comboV8 and MX android TV box, any other product to look for?
super box ni kichwa ngumu I have used
How now?
ata mimi taka jua
kuna hii ya ngiri tatu. hio mia mbiri save ununue Blue Ice mbiri as u enjoy your new digital life
skylife decoder
Kumbe these boxes are so many, see the link below?
http://digitalkenya.go.ke/images/content/DVB_11_2015.pdf
kukinyesha ata haikua inashika, nilikua natumia kitu 1 and a half years ago
sijui kwa nini lakini nashuku ulikua unatumia sufuria kama aerial
haha mafi wewe, go shove a finger in one of your openings
I will give you a Scantech T2-601 @3400. Best FTA decoder in the market.
Ama ulete 3200 juu wewe ni talker.
Si ungengoja munegotiate?