Wadau kama kuna pink handle ako hii area code anaweza tokelezea siwezi kosa kidogo ya kununua ile drink inawekwa umbrella hapo juu.
Just look for a tall handsome guy ako na 6pack amevaa adidas juu chini kama rafiki ya Blaze. Pia ni brown skin kama muturadom.
Reality:- Maze kama kuna raiya iko hii area code si utokelezee tufanye cost sharing ya hii kc coconut. Bill inanilemea. Angalia tu midget ako na mapua kama ya wamalwa na imejaa nywele kama ya @Mathaais. Pia niko na kipara kama crayon thug @introvert na utambi kubwa kuliko ya kush.[ATTACH=full]123504[/ATTACH] [ATTACH=full]123507[/ATTACH]
hehehe kwani leo wasee ni wa less aje ama ni because its still early or the weather is cool. Jibambe jamaa
Heshima kwa VS ni muhimu please.
Ni mimi nilikuwa wa kwanza. Ndio watu wameanza kuingia. Vitu very fine.
make sure umepanda mti Nakuru County.
Kulinda Mazingira ni jukumu letu
Hehehe…incase kuna irregularities and illegality in acquiring the onion rings. Pesa ya durex naongeza kc ingine.[ATTACH=full]123515[/ATTACH]
aaaaaaaaiiiiiiiiiiiiii,boss !!! made in india ? isn’t their population at 1.3fuckedup billion?
:D:D:D
Jienjoy Buda.
:D:D:D:D ziko huku za free. jiulize tu, What would Uwesmake do?
Mimi ata juala nitaweka bora tu nisiingie dryfry. Already nimetumia moja by the way. Ni tight kidogo but haidhuru.
Hells gate…sijawai ingia hiyo pool…lazima nifike huko one of these days.