Things are bad...CANCER

Karatina?

Bhai ni jamaa wa Karatina. Labda you are his neighbour

I come from a coffee growing region. Kwa Mountains. I used to spray the coffee for so long but I can’t recall the actual names for the chemicals. They were supplied by the sacco. But I havent interacted with for long. But ikikam ni sawa. But in my area people tend to die alot.

Ujinga wako ni kipawa ulichopewa.

Because of sticking to one sex partner or being faithful?

mnadhani cancer hudetectiwa instantly kama HIV test?

Haiya kweli kenya ni ndogo. Kwetu ni chini ya Karatina though

Ongea na yeye muende Oldoinyo

Hatujuani na yeye

Wait…how did you know I’m from that region?

Mwanda,Kangocho, kibirigwi, kibingoti?

Kibirigwi. Siz ameolewa Mwanda

Ok, mi ni wa jambo

Curio shop? That’s good. Unaishi huko?

@Jymo pole.

Probably guys have resumed using a certain chemical ilikuwa imekataliwa na serikali.It was said to be very poisonus.Wenye walikuwa nayo hizo enzi walikuwa wanaificha kwa shamba.Can’t recall herbicide name

Roundup ama gramoxone? Kuna dawa uncle alikuwa anatumia bana ukifika 50m kwenye alianza weeds zishaanza kukauka

Hiyo ilikuwa ya kuua wadudu fulani walikuwa wanavamia kahawa.It was illegal to have it.I will find out and share the name

Poa. I understand Furadan was also banned.we used to poison birds for fun tukiwa watoto. A bird would die in a minute

Everybody dies,Cancer is just shit that happens to also kill

I think that is the name,Yes Furadan it was.