Thuraku Pt 2

Hekaya swafi kapsaaa. It reminds me nikiwa kipii tulikuwa na shamba sometimes invaded by “thuraku” and “mugagaca”(reddish brown ant slightly smaller and fiercer than the former.)especially during cool days. My curiosity drove me to practically make these insects battle it out using caterpillars and a grasshopper as bait. Hapo ndio nilijua thuraku ni upuuss juu ile vita ilionwa was epic, eggs, larvae and other stuff were carried out by “mugagaca” as spoils of war. Am a victim of that brown ant and the beating I recieved from my Mum was also epic juu alikuwa aminikanya nisichezee mound ya red soil ilikuwa kwa shamba.

am looking for video that somebody once sent me via WhatsApp, nikiipata nairusha hapa in the course of the day. lasma mtacheka

waiting, sijui kwanini nacheka ata kabla sijaona

:D:D:D:D:D:D:D:D Damn! Heartbreaking!! Pole ES.:D:D:D

:D:D:D:D On that note pewa kikombe kubwa ya rikairo on my bill

:eek::eek: Indeed every “Goliath” has their own “David” …Alafu those small red ones the “mugagaca” (kwetu tunaziita “chinsimi”) bite yao is a bit different from ile ya thuraku aka ensanako its as if ni personal yaani its a very deeeep kapain ni kama inajaribu kukuambia usiidharau juu ya size :D:D

i can remember a time kwa shosh kulikuwa na cockroach akaambiwa dawa ni thuraku,what you need to do is carry one to the house the others follow it ata kama distance ni long aje,that is one mystery ata wa leo sijawahi elewa because the following morning zilikuwa mpaka kwa paa kwa hizi nyumba za nyasi

:D:D:D umenikumbusha after highskul venye tulitoka ulevi na cuzo na after kulala thuraku zikacome in full stealth mode…then cuzo akitoka uko mangware akanyore,alishuka kwa bed na coz of the movement the General akacommand attack…tulienda kudance lingala uko nje na tukalala kwa granary kumalizia usingizi…kwetu BTW zinaitwa ‘‘NGUKU’’

:D:D:D:D:D:D

ahahahah
kasee ka kwa wavinya,yaliyonguku sipite

:D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D Hapo ata breakdance utacheza my fren…alafu after kumalizana nazo kuna kaphopia huingia msee unakaa ukijishuku ni kama kamoja kalibaki, mimi after an encounter with the red army nilikuwa natoa nguo zote sana sana troza naiexamine thoroughly ata kuliko wasee wa forensics!

ata mimi my encounter na siafu ilifanya niwaogope kabisa, Nikiwa mdogo nikaenda ocha and my cousins walikuwa wanaenda river kufetch maji. Nikawafuate kumbe pale niliketi kwa river bank kulikuwa nazo. Niliumwa nazo nikatoa trouser nikaicha, my cousins walikuwa wananisaidia kuzitoa.Long story short nilitupa hio trouser kwa river nikaenda home hivyo. My cucu alistuka and she reminds me of the story almost everytime when i visit.

Nothing else. Most of us are familiar with pheromones only in the context of mating. Insects (and other animals) also produce pheromones to alert one another of danger & enemies, food & water, etc. Plants also produce them (essential oils) to attract insects for pollination, ward off animals from eating them, and prevent other plants from growing nearby hence minimizing competition for water, nutrients and space (eucalyptus is most notorious in this sense).

An attack of these ants happened tukiwa high school. We used to rear pigs so one time tulichinjiwa tukauziwa bei nafuu. We’d been warned not to carry the meat and bones to the form lakini si wajua tu teenagers. Wasee walibeba na kuweka kwa boxes wale baadaye.

Fast forward to 2am wanaume wanapiga nduru nashangaa nini kinaendelea. Kumbe siafu waliingia and attacked everyone who had even a whiff of pork. Mine was like an island; I was left untouched while all around me guys were cursing in pain.

Hawa ni wazii sana pia. They’ll often mess your sweet potatoes in the shamba as well.

Pheromones my fren.

hehehe, too bad hatukua na cameras za selfies siku hizo, all this hekayas zingekua na mbisha.

Wachamaa ata kama thuraku,migagaca are noma hakuna kitu ushawai ona kama hujawai kutana na zingine hupanda miti zikitingiza thorax. Nani anazijua…? Thambo! They have their colonies especially on top of mufariti trees that have passion fruits creeping on them.
My cuzo lied to me ati I wrap myself with jackets na suka Kwa uso ati the colonies held honey,By then I did not know how honey combs looked like.
kuthombotha kikitu baada ya kupanda mti,wale wadudu waliniangukia Kwa jacket…thanks God sikuanguka from the tree but before nivue nguo,nilikuwa naskia kama hao wanyama wananichapa slaps kila mahali.
Cuzo SAA hizo alikuwa anaroll ni kicheko!

The best revenge on siafu is diesel or used diesel oil. Kerol is also a WMD.

Got caught nikicheza cha mama. Kakeja ya twigs na nyasi. Ndani kulikua na goody goody mbiliza za two bob (big ones) na chupa ya fanta orange. Brigade iliingia hadi kwa singo. But firefight did not begin till special forces zilikua in position kule periscope iko.