Tuliotoka JamiiForums tukutane hapa...

Kule kwetu Tanzania ukimuita mtu msenge unakua umemkosea kupita maelezo, Ni kosa kubwa sana kumuita mwanaume mwenye uwezo wa kuzalisha msenge.

Tunaomba ututake radhi mara moja, la sivyo tutakuchukulia hatua za kinidhamu. sisi sio watu wa mchezo mchezo

Hata Jamii forums kuna Kenyan news na Kenyan forum so ni wazo zuri pia

msenge zaidi nikuombe radhi kwani nakufira?

Sawa mkuu

He he he, si umejikaza na Kiswahili.

Anyway, our brothers from Magufuliland, karibu sana.

Ustaarabu ni kitu cha bure Mkuu.

kiswahili lugha yangu ya pili. hata shule nilipata distinkshen:smiley:

Ahsante sana Admin.

Ila watu wako wana matusi sana Mkuu.

ati unajaribu ku capture ile accent ya wa tii-sedi na hizo ma Lr…rl?

[ATTACH=full]175244[/ATTACH]

Karibuni sana. Admean hawa wafunguliwe sehemu yao na tupaite Dadaab.

:smiley: watukubalishe sheng, mimi ‘R’ and ‘L’ ni shida

gachororo hae kulikuwa na Kiswahili mkifanya fom sicks 1961?

Dang!

People who are our parents’ age [ like you] say they only learnt the rudimentary Swahili that they speak today when they came to Nairobi in the sixties and seventies.

mtusafishe macho wakuu…

can relate…mimi shid kuu ni m na n kujiegeza au kuponyoka zisipotakikana…

Karibu mkuu

Zaidi, tabia ya wakenya hii. Bora usiyachukulie kwa undani….

Kuhusu nini Mkuu?

Tumezoea kule JF atukanaye hupigwa ban.

[ATTACH=full]175249[/ATTACH]

matusi sio asili yetu watanzania