Tuliotoka JamiiForums tukutane hapa...

Wa-tii-sedi are constantly itching to be part of souz afrika. Si wajikate waende kwenye forum za huko wawachane na hizi za “man-eat-woman’s-nini-hii” society?

Are you familiar with the Kenyan urban nursery rhyme danganya toto jinga?:smiley:

You will get used sir.

Labda wewe unajua wa teezed wa Gikomba.

Wa Teezed ni wastarabu sana

Weeh ici njege niciaga nyingi muno, @admin rihia mbeca cia kuingira guku

Unamaanisha walio Gikombaa sio wa-tii-sedi?

makalio ya wanawake Wakichagha, na wanyamwezi mkuu, twataka picha. yatotoe uchafu machoni mwetu. come on guys give me marks here.

Sukuma hapa ni kitoweo cha kuteremsha ugali lakini ukitaka kukuliwa Uwesmake pia yuko tayari.

love this shit guys are really struggling…

Wako wepi pinkie handle wakutoka bongo…macho jameni yawe safi kabla twendelee zaidi.
Mwakaribishwa sana alamsiki

Mwathani jugaga wee ni mbaluhya…

@Deorro, in all seriousness this is a once in a lifetime chance.Create a sub forum for these jamii forum orphans before they scatter or regroup.

Kangura nyinyi ama mwasema kwangwaru…humu Kenya toki twatambua kunguru na mzoga LA sivyo mwende Siberia

Kabisa mkuu

Karibu nyote.

https://www.kenyatalk.com/index.php?forums/tanzanian-news-and-politics.37/

Shukrani, huku ugenini naona hawajui kiswahili

Karibuni…

Natafuta bwana kutoka Tanzania :slight_smile:

Kabisa,vipi lakini?

kunguru tulia