Tumemshinda shetani na washirika wake

Mwanaharakati kama Mange awezeshwe ili itengenezwe kitu kama jamii forums ,iwe hosted hukohuko ili tujimwage madukuduku yetu vilivyo.Nimegundua Jiwe ni mwepesi sana kiasiasa!

Na tuseme Amina

Hakika mkuu jamaa mwepesi mno

wote waliomzunguka shetani ni mapoyoyo, hawewezi kufikiri mpaka huko

Ila mie nimefurahi tangu waraka wa Maaskofu wa TEC na KKKT hakuna Mtanzania aliyetekwa, kuokota mwili/miili au kupotea kwa miezi mitatu sasa. Hii inamaanisha huyo dhalimu na genge lake la wahuni na wauaji wanaojiita watu wasiojulikana wameufyata kwa kuhofia Watanzania na Viongozi wa dini hatutaendelea kukaa kimya kuhusu udhalimu wao wa kutisha dhidi ya Watanzania wasio na hatia yoyote ile.

Mrs

karibu Mr ugenini

uko kapumzika kahamia kutufunga midomo kwenye mitandao

Nmefurahi kukuona karibu tujumuike tena

Ahsante Mrs naona ushakua senior kabisa huku ugenini…

Happy Eid Mubarak mrs

haahahahaaaa kumbe we bado villager eeeh utapandishwa cheo soon chat sana sahv wasalimie ndugu jamaa na marafiki uliowamiss

Minalfaidhinaa

Huyu jiwe hawezi kushindana na tekinolojia

ameeeeen na ashindwe na kulegea

Anavyo mpenda ‘fent ford’ yupo tayari kukagua ujenzi wa choo cha kata
A complete wazzock

Siku zote lazima tuwe hatua moja mbele kwani Malaika Jiwe ni so obsessed na wanao mkosoa nadhani baada ya ujenzi wa barabara hakuna zaidi kinachomsumbua zaidi ya mitandao

Shukrani sana.

Wala haikuwa ukaguzi!!!ile ni cover up location ya kusemea aliyoyasema kwene ukaguzi uchwara!!

Mmhh nalo neno

Hahahaaa kitakachofata ni kuzuia matumiz ya data au gharama za matumiz ya internet kuwa juu

Akuchunge mbuzi kulee.ndo shida ya mshamba kutawala

Hapo hapo anawapiga mkwala eti wasiruhusu wanasiasa wawasemeee.hivi yeye alienda pale kama kadhi mkuu au kama muhashamu.jiweeeeee