Tumemshinda shetani na washirika wake

Huwezi kumzuia mtu asifikiri. Huwezi zuia watu wasizungumze yanayowahusu wao na hatma ya kesho yao na Taifa lao. Ukitaka usikoselewe acha siasa nenda ukavue samaki au ukalime magimbi.

“Tumemshinda shetani mkuu na washirika wake”

Lakini kumbuka shetani akiwa kazini hachoki kwa sababu anasubiri kiama aende na wengi.

shetani anaweza akaja ata huku akaongea na rafiki ake wakafunga

Ahaaaa, rafiki yake Odinga?:oops::oops:

This is an endless battle.Ikiwa hivyo ,tutatafuta uchochoro mwingine.Kazi yetu iwe kufikiri na kuona mbali zaidi yao.

haha anao wengi

ndo hvyo binadamu huezi kumfungia njia ukifunga hapa anaanzisha nyingine

Hawezi na hatoweza

tushakuwa wakimbizi aisee!!

Basi ngoja tuone mwisho wake

Ngoja niongee na Uhuru Kenyata

Time will tell…

Nawashukuru sana wakenya kwa kutupa hifadhi…

Hii ndio sala yangu ya leo
Namkataa Magu na mambo yake yote, na mabashite wake wote… kamwe hawezi kutufunga midomo, wala macho wala mikono, wala akili… Mungu alitupa hivyo viungo tuvitumie Magu hata afanyeje hawezi kutuzuia… na hana pa kukata rufaa the battle goes on

Jamaa amekuwa pimbi kabisa…
Unaenda kukagua ujenzi wa msikiti unaojengwa kwa msaada…!!
Upoyoyo kabisa.

Niwatakia Eid Mubarak njema wapendwa

Shetani wa kuzima mitandao

Swali langu ni kwamba Jamii forums hii ni salama? sio janja janja ya Wadukuzi wameanzisha fake JF ili watunase?

Siamini kama ni fake b’se JF hapa imewekwa as subforum ndani ya Forum mama " Kenyatalk" ya Kenya. So,tupo uhamishoni

Hmm!..

Teh teh aise mm mwenyewe siku ile nilishindwa kushangaa alafu anatoa hela kwa vibarua kama alikua nazo pesa nyingi mbona msikiti umejengwa kwa msaada.