Hangover inaniuwa
PAR inaniuwa. (washamba hamujui maana yake mujiuwe)
Nifanyeje wasitooo
[ATTACH=full]175369[/ATTACH]
Hangover inaniuwa
PAR inaniuwa. (washamba hamujui maana yake mujiuwe)
Nifanyeje wasitooo
[ATTACH=full]175369[/ATTACH]
Tumia sukari
anko, watizedii walilanda Jana usiku kama navy seals…
ita ambulance.
ngombe
[ATTACH=full]175370[/ATTACH]
dawa ya mbu
PAR ni kipara ama??
:meffi:
[ATTACH=full]175374[/ATTACH]
bed sitter chronicles…kuna mtu alisema hapa akimangana kwa keja ina roof ya mabati kama hii hapa kukinyesha,hufeel nikama anashangiliwa…hio sauti ya mvua ikipiga mabati…
Anko inua status ya hio kunguru…
Endelea kula takataka polepole bila kusumbua. Brare chieth.
Oya.
Mutu wa hallergies na makeups hafai kutaja genetic mutations za wasito.
Panya ii.
Mambo kipash?? Yako ikimutate itakua state of emergency
:meffi::meffi::meffi::meffi:
Lipia lodging ya maana uncle.
Uwes akikosa Momo yeye hula mifupa
Kunywa hio lube kijana.