Walioishi Uswazi Vs Ushuani tukutane hapa

Acha uongo wewe wa ushuani

Za Masaki?

Hahaaaa huko uzunguni nakusikiaga mimi.
Mie wa uswahilini ugali miguu ya kuku

Masaki ipi hahahaaa

Hahhahaha vizuri nimekutana na wa uswazi mwenzangu nilijua nipo peke angu nitakosa wa kupiga nae story zetu za uswazi

Lete story tu usihofu hahahaa

[quote=“Sweetleee, post:26, topic:163501”]

Lete story tu usihofu hahahaa
[/QUOTEnje
Hapa nje kwangu wanauza miguu na utumbo na vichwa najiandaa kutoka nikale ujue kuishi uswahilini raha sana[/QUOTE]

Kwani ukisema ukweli kuna nini?

Kijijini ni ushuani au uswazi? Maana nimeishi bukililo

Hahahaa unibakizie

Unavijua kwanza sio nikubakishie halafu utupe

Navijua Babe

Nitakuongezea na utumbo

Uniwekee na firigisi

Hahaha sio vya kuuliza hivyo na chips za mafungu

Niwekee mafungu matatu nipo njiani naja

Woooooooooozeeeeeer zilivyo tamu sasa chipsi vumbi pilipili iwekwe eenh

Hahaaaaa.
Hivi nilikuuliza kama mlienda kwenye ile offer ya Don mbona hukunijibu?

Sijaona bana uliniuliza wapi jamani ila tulikutana ile jumapili na jf ikazima siku hiyo tuko wote tunalewa tulikukumbuka yaani acha tu

Jamaniiii JF imenikatili mlikuwa na kina nani?