Walioishi Uswazi Vs Ushuani tukutane hapa

Tulikuwa na @Mzigua90 @Raynavero yani tunataka kuingia jf by saa sita hakuna kitu ebu tumuite @Don Clericuzio tumuulize offer yetu vipiiii

So Don hakutokea? @Raynavero alikunywa?

Hahahhah hakunywa ilikuwa mwezi mtukutufu hiyo sio ya Don ilikuwa ya kwetu si unakumbuka ukasema hautakuwa mjini au umejisahaulisha

Oooh sasa lini tena?

Wewe mjini unakuja lini tupange @Raynavero @Mzigua90

Niko Moro next week naja

Woooooooooooozeeeeeerrrrrr

Jamani mimi nimeokoka, labda tukutane niwahubirie ukuu wa Bwana.

Mh haya mambo toka lini Don ww @Mzigua90 @Raynavero @Sweetleee njoeni msikoe huku

shikamoo don

Eti kaokoka jamani

Yaani hatari hii!asijali atakunywa Juice na mimi

Uswahilini kila kitu kipo.

Kijijini ni Uswazi na ushuani

Unakumbuka tulivyopanic jamani. Walitukatili sana

Aseme tu sisi tuko

Wewe huyo??

Hahahhahahahhaha

Hahahahhahahha

Hahhaaha nakumbuka kila mtu anashika simu yake haamini