Wanaume wa Kenya hivi kwanini mnakong'otwa sana na wake zenu hamuoni aya?

Hahahaaa. Umewagusa kunako. Teh teh

Hahahaaa. Nazidi kufurahi aiseeee. Sababu kuna watu wakiguswa ni wakali kama pilipili lol.

Lengo la uzi ni kujua nini chanzo jamaani na sio hayo mengine.

Kazi kweli kweli

Hahahaha woooooozeeeeer nitarudi

You are beaten by your wives like stray dogs

Niaje Duchess of kiambushire

mbona nyie mnapotosha hatusemi,

“Shetani” and not Saitani. Acha upuuzi wa kuharibu lugha, wewe ndio zile type za wanaume wanaopigwa na wake zao.

Correction “Nyinyi mmejenga nchi yenu mkaona muanze kujenga ya wengine”. If you don’t write swahili kaa kimya.

Hata mimi unanishangaza aisee. “Mduanzi wewe”

zeni wati.?

Kiswhali sifu rudisha uko ulikotka… this forum has its own language “saitan” is one of the words.
Bure kabisa
Siatan!!

Hahahaaaaaa. Lol.

Urudi dada usiache uje umalizie mapovu ya wadau walioandika nyuma. Hahahaaaa.

Hata mapovu hawajui ni nini?

Hahahaaa. Wataelewa tu.

But Jamiiforums language is Kiswahili and not otherwise. Karibu Tanzania kwenye kiswahili cha kila aina!!

Is JF your Ghetto, acha ufala wewe usitupangie lugha ya kupost

My bad i didn’t notice the post was under jamii forums…i am out.

Sasa wakimbizi mshaanza kuwachokoza wenyeji wenu, watawanyima naniliu buree na wanawamke mtakosa wachumba wa Kikenya

Msiwalaumu wanaume wa Kenya, hao ladies wa Kenya hula kilo moja ya dona na nusu kilo ya maharage kwa lunch ya mtu mmoja.

na ushangae kwelikweli