Wanaume wa Kenya hivi kwanini mnakong'otwa sana na wake zenu hamuoni aya?

unalogwa mzeeee

mwanamke hana mmiliki adui yako anaweza chukua mke wako hata ka anajua ni adui yako

Mwalimu wao kipofu

Haaa haaa umenifanya nicheke kwa nguvu,kwani wamekuwa wanaapolo?:D:D:D

Hawachekani na wanaume wa dar hao

Aisee

Na usirudi

teh teh teh

Why does your wives treats you like a drum?

Hahahaha

Hahahaha

Tatizo mnakula chips na biskuti

Naona wakimbizi mmeanza kuzoea maisha ya nchi jirani…

Kenyans don’t like these kind of threads.

Meffi