What's in Loot-All?

Wee jifanye tu. Hio siku Ruto akishindwa ile kichapo mtapata hapo naivasha/nakuru ni mungu anayua tu.

Haha, si mtu ajiuze ama auze sera zake bila kutisha watu. Kenyan lives are not a bargaining tool

Are you a coward ama nini? Where does this come from?

They have never been! ama hauna msemo mwingine? Kwani 2017, 2013, 2007 and all the years down the line zilikuwa bargaining tools?

People can’t just get away with electing incompetent leaders term after term just to serve their short-term interests. 2022 will be the year of retribution. Lessons will be taught! Watu watasoma masomo ya msingi.

Whichever way this goes kuna mtu lazma atachunishwa sukuma. Apende asipende!!

Kuna mtu lazima anyoroshwe ndio in future asifanye short-term retrogressive decisions.

The chicken are finally coming home to roost. It’s been a long way coming. Almost half a century to be precise. So many false dawns! But finally the sun will rise

Mupende musipende!

Anyone believing that Ruto is a hustler needs to have his head split with an axe tuone nini iko huko ndani.

Umewacha wapi 1997, 1992…na hizo miaka zingine?

Looking back and looking forward…ruto is the best man to lead this country forward.

Jidanganye tu. Kwanza venye wewe nakujua mara kurusha tantrums kwa admin mara sijui deorro. Hii ktalk sioni ukirudi if WSR gets defeated at the ballot. You might bid us fairwell just like @Gio did. But nitafurahi sana.

But there is one thing we definitely agree on though - The future is bright!

Sasa unaongea mbaya juu ya ruto hahaha hii ndio shida yako…you cannot even give a point bila kuleta story zingine that have nothing to do with the topic at hand

Ever heard of Kīambaa sir?

You have a vote an undeniable right. One Ole Kamotho alisema hata humbwa inaweza kuwa elected given some right euphoria hapo cendro. You are free to do as you wish sir. Lakini sisi wengine hatuna Deni.

Kīambaa is a beautiful handicraft of the hustler. Don’t forget that he went ahead and acquired some land belonging to one Muteshi. Taking advantage of the opportunity he created.