Must these manufacturers install a cigarette lighter,i knw it has other functions but why assume everyone is a smoker or do they encourage smoking.[ATTACH=full]75542[/ATTACH]
Ukipewa lift tulia, snatch dragon
its a power source you orangutan, hio ni ndai gani lakini?
Nini ungetaka kuwekewa hapo?
Toa ama ujaze na gum kama huoni kazi ya hiyo socket.
Looks like a land cruiser j180. Not 100% sure though
Na hii holiday umekuwa ukipeana ma sweeps tu, what is?
Glory hole
Hujakosea sana landcruiser v8 zx 2016 model
Sema Tu hiyo shimo inakukumbusha dry spell
Iwache umeikuta tu hapo
Bragging 102.
Jamaa amepewa lift na anawika ni kama aliitoa showroom
Outlet power source
What do you think is in there?
ama wacha tu
uliza mwenyewe hako kakitu ni ka nini.
Cigarette lighter …keep in mind that other appliances that work with that kashimo are an adaptation
It’s for your clande.
Unataka wawekange charger ya simu gani? Is it too hard for you to see the sense?
Watu wa kwenda ocha na gari ya car hire wainuwe mikono!
Simu aibe