Outering Road progress

@spear…leta updates papa

Tumeumia sana mayamaa wa leafy eastlands suburbs .

banah jo.tumeumia sana sijui hii highway itaisha siku gani.but ikiisha tu hivi vile imeundwa nakwambia hio mtaa itakuwa ya kutajika

imebaki hapa tu rounda ya doni
https://www.standardmedia.co.ke/images/thursday/cbqypkjgz3bspab3vs5914be664b2ce.jpg

kwanza mvua vile husumbua hao machinku wanashinda wakipump maji kutoka kwa hizo matrenches

Pale donholm kumekuwa turned upside down hata hauwezi jua uko donni. Kama msee alikuja hiyo area 5 years ago apitie hapo leo anapotea.

https://www.standardmedia.co.ke/images/monday/tghcnork6gje57fb971d30201.jpg

pale kwa daraja ya kware

swagmaster alisha sign deal vile footbridge itawekwa pale mtish from umozhe to ifuru

@spear mbona walianzia allsops na hapo doni ndio epicentre? Wangeanzia hapo angalau wananchi wa leafy suburbs wasiumie wangeacha watu wa slums za paipo kina culture na vuja de na watu wa kariobangi kina @Ice_Cube waumie banaaaa

utaacha matusi bukusu

[ATTACH=full]102956[/ATTACH] [ATTACH=full]102957[/ATTACH] [ATTACH=full]102958[/ATTACH] [ATTACH=full]102959[/ATTACH] [ATTACH=full]102960[/ATTACH] [ATTACH=full]102961[/ATTACH] [ATTACH=full]102962[/ATTACH] [ATTACH=full]102963[/ATTACH] [ATTACH=full]102964[/ATTACH] [ATTACH=full]102965[/ATTACH]

@culture = @spear

spear haweskua mnusapantie

Hapo swafi. Nimekuwa nataja @spear alete hizi updates but analenga. Property eastlando lazima ishoot bei.
@spear, naskia jogoo road wata expand?

Hizi picha ni za two months ago. Washaweka overpass vizuri na waka-tarmac.

Kesho please saa hii things are tight.

kuna siku nilikua naenda dandora nikaingilia allsops kufika rounda nikakuta kumefungwa ile kupotea nilipotea wacha tu… had to ask alot of ppl for directions.

By any chance uko na masterplan yake tuione?

watch hiyo simulation, you’ll get a snapshot of how the completed road will be.

https://www.youtube.com/watch?v=-v3Fzk9GMzU

Thanks