Ancestral land hukuwa Na natural curse. Unless u exchange with a more productive land or u get a government compensation in case they want to put up something in your land. Don’t dare sell that precious inherited piece
Jimit
December 14, 2017, 12:14pm
23
nmepitia mengi swezi uza kumbuka i ave a bro thou anakuaga side ya mama kuliko huku kwa buda anaga shughuli but itafika time tugawane juu he is my father son
salute you boss hawa ma uncle wengine ni meffi 2
Kwa hiyo hii mambo ya kichwa ngumu ulianza kitambo???
LeoK
December 14, 2017, 1:28pm
27
Saintonthebeathoe:
NB hii hekaya ni spinoff ya ile hekaya yangu inaitwa “THIS IS MY STORY”
***********************
Baada ya budangu kudead nilibaki na shosh nikiwa class three hapo, na unajua hapo ndio ukipii unakua mwingi nakumbuka kuna time nlikua nmeficha manguo kwa gate yetu badala ya kuenda shule…nikifika kwa gate naacha uniform hapo navaa za mtaa naenda kushinda video,halafu kwa hio video nilikua silipi kazi yangu ni kufagia asubuhi na kutumwa tumwa hapo ,saa saba kengele ikipigwa ya lunch mimi nlikua nafika home right on time nikiwa nmevaa uniform…na naanza kuchocha shosh vile masomo ilikua poa,nilikua nakanyaga chuo kama exam iko around the corner,hii tabia ikaendelea until day moja nilikutana na shosh nikiwa mtaani na aliacha nmeenda shule na juu alikua mzee angeweza kunichapa akaamua kunifundisha lesson chini ya maji.
day moja nikiwa katika harakati zangu za kutumwa pale video nikikutana na karao flani anaitwa juma,halafu si unajua ukiwa kipii vile ukiona police uwa unajifanya serious, nilipoona juma nikajifanya serious sana, kidogi msee akaninyooshea mkono nikama ananisalimia mimi na ujinga wangu nikafikiri nmekua celeb sana hadi makarao wananitambua nikamsalimia MAKOSA!..ivyo ndio boychild nilikamatwa,kumbe shosh aliona hana nguvu za kunidhibiti akaenda kunireport police,ili kichapo niliekwa tangu io siku sijawahi kua absent tena shule…
ffw>baada ya shosh kudead kwanza nilienda kukaa kwa my aunt nikaacha home ikiwa haina mtu…na buda alikua ameniachia shamba ya 15 acres,sasa kwa io shamba kuna mahali nmepakana na my uncle sasa vile nilienda kwa my uncle the guy took advantage akauza 2 acres zangu…mimi nikiwa kwa aunt nikaambiwa nikarudi home kuangalia nikapata wasee wanaeka fence hapo…nikawafukuza na panga na nikaenda kureport kwa sub chief… kumbe huyo subchief ndie alikua shahidi kwa io biashara so hakuna vile angeondekea uncle so akanifukuza kwa office juu waliona nko mdogo hakuna kitu naeza fanya,iliniumiza zaidi nlipogundua ata yule aunty yangu alikua part of that deal,nikaenda kwa chief nae akanifukuza kwa office so i decided kuchukua sheria mikononi…
i confronted my uncle kidogo mzee akatusi budangu na akanishow io kiherehere niko nayo ndio budangu alikua nae na nikicheza nitamfuata.hapo nikachukua gutona (jiwe) nikamuweka ya kichwa,nikaitiwa police nikaekwa ndani.but watu waliandamana kwa town nikaachiliwa.ndipo nilienda machakos kwa DC nikamueleza im orphan na my uncle ameungana na local chief kuniibia shamba, huyo dc alijam sana alichukua karatasi mbili ata chenye kiliandikwa sijui akaniambia nipeleke kwa kwa chief na assistant wake na wakisoma niwe hapo…nilipowapelekea nilijua ni kubaya vile walisweat…anway baada ya siku mbili nilirudishiwa shamba yangu…ilibidi my uncle apeane yake
Kudos kijana. @Chifu alijua hajui. Big up to Shosh. MSRIP.
WuTang
December 14, 2017, 2:07pm
28
Pole sana, mnyonge hana haki.
WuTang
December 14, 2017, 2:09pm
29
How is your relationship with your uncle and aunt?
i ave no beef with them but we don’t talk
Giggz
December 14, 2017, 4:17pm
31
Don’t bother selling, hio ni rasilimali ya yako na vizazi. How productive is it? What use can you put it to ? You can lease part of it and utilize the funds to improve the other portion.
na jivunia kusoma post zako
system
December 14, 2017, 11:55pm
33
Very touching hekaya.
Ahsante for sharing .
hcaikp
December 15, 2017, 1:39am
34
@Saintonthebeathoe , maisha tuu bro, usi uzee shambaa ya uko, unajua sasa mimi husoma hekaya zako zote. pole bro.
Unruly
December 15, 2017, 3:13am
35
Man, you are an inspiration. Salute!!